test

Jumatatu, 4 Juni 2018

Sababu za KIFO Cha Mapacha Walioungana Daktari aweka Wazi


Image result for Maria na Consolata walifariki Dunia
Maria na Consolata walifariki Dunia Jana jioni Jun 3, 2018. Daktari ameeleza sababu za kifo cha mapacha hao walio ungana sehemu ya chini ya mwili kuanzia kifuani ambao wameishi kwa mda wa miaka 22. Mipango ya Mazishi inaendelea kufanyika na wanatajiwa kuzikwa katika makaburi ya Tosamaganga mkoani Iringa. Mpaka wanafariki Maria na Consolata walikuwa ni wanafunzi wa Chuo cha Ruaha (RUCO) kilichopo mkoani Iringa.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

Maoni 1 :

  1. Sasa sababu za kufariki kwao ziko wapi? Blog ya kisenge tu. Tangazo linafunika ukurasa mzima hata kusoma haiwezekani. Mtasoma hii bkog na mamako.

    JibuFuta