Maria na Consolata walifariki Dunia Jana jioni Jun 3, 2018. Daktari ameeleza sababu za kifo cha mapacha hao walio ungana sehemu ya chini ya mwili kuanzia kifuani ambao wameishi kwa mda wa miaka 22. Mipango ya Mazishi inaendelea kufanyika na wanatajiwa kuzikwa katika makaburi ya Tosamaganga mkoani Iringa. Mpaka wanafariki Maria na Consolata walikuwa ni wanafunzi wa Chuo cha Ruaha (RUCO) kilichopo mkoani Iringa.
Sasa sababu za kufariki kwao ziko wapi? Blog ya kisenge tu. Tangazo linafunika ukurasa mzima hata kusoma haiwezekani. Mtasoma hii bkog na mamako.
JibuFuta