Mbunge wa Bukombe Doto Biteko
amehoji ndani ya bunge sababu ya serikali kuendelea kukaa kimya baada ya
kubainika kuna baadhi ya vitabu vilivyotolewa kwenye shule nchini
vikiwa na mapungufu ya kitaaluma na kupelekea wanafunzi kupata elimu
isiyo stahiki.
0 comments:
Chapisha Maoni