Bunge limeendelea na shughuli zake leo May 15, 2017 ambapo moja
ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na Mbunge wa Viti
Maalum kupitia CCM, Agnes Marwa ambaye alisimama na kulieleza Bunge
kuhusu maombi ya baadhi ya wanafunzi wa mafunzo ya ziada, yaani QT ambao
wametakiwa kuwa na ufaulu mkubwa zaidi ili kukidhi vigezo tofauti na
wanafunzi wa kawaida.
0 comments:
Chapisha Maoni