Katika kuwania kiatu cha mfungaji bora wa ligi kuu Engkand hawa hapa ni wale 10 ambao kila kunapoitwa leo wafukuzana pale mbele.
- Romelu Lukaku. 24 (Everton)
- Alexis Sanchez. 21 (Arsenal)
- Harry Kane. 21 (Tottenham)
- Diego Costa. 20 (Chelsea)
- Sergio Agüero. 18 (man city)
- Zlatan Ibrahimovic. 17 (manutd)
- Dele Alli. 17 (Tottenham)
- Joshua King. 16 ( Bournemouth)
- Eden Hazard. 15 (Chelsea)
- Jermain Defoe. 15 (Sunderland).