test

Jumapili, 14 Mei 2017

POGBA KUIKOSA MECHI YA TOTTENHAM LEO..



Kiungobwa Manchester United ameshindwa kusafiri na klabu yake kuelekea katika uwanja wa White Heart Lane kutokana na msiba wa Baba yake.

Mzee Fassou Antoine alifariki juzi hivyo kusababisha Pogba kushindwa kuungana na kikosi cha Manchester katika mchezo huo.

United watakua ugenini kuikabili Tottenham katika muendelezo wa ligi kuu England ambayo tayari bingwa am ekwisha patikana kwa kua na pointi ambazo anaemfuata hawezi fikisha.

Hata hivyo mchezo huo unategewa kua wa Aina yake kwani ni mchezo ambao United anakwenda kupambana na timu ambayo kwa sasa inashika nafadi ya pili huku yeye akiwa katika nafasi ya 6...

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx