Hii
inakuwa kolabo ya pili kati ya Ommy Dimpoz na Alikiba baada ya miaka
minne. Alikiba yuko chini ya usimamizi wa Studio ya Kimataifa ya
ROCKSTAR4000 na Rockstar Publishing wakati Ommy Dimpoz yuko chini ya PKP
Management.
Wimbo
huu uliobeba ujumbe wa mapenzi unazungumzia mwanamke wa ndoto zao
uliandikwa na Ommy Dimpoz pamoja na Alikiba na kufanyiwa kazi na
mtayarishaji Emmma The Boy. Video pia iko tayari katika chaneli ya
YouTube ya AliKiba na unaweza kuitizama hapo chini. Pakua : http://bit.ly/Kajiandae kisha tupe mrejesho wako.