test

Jumanne, 1 Novemba 2016

Hii ndio Kwema Modern Primary School iliyoongoza Kitaifa


Kwema Modern Primary School Yaongoza Kitaifa na vilevile yatoa wanafunzi saba kumi bora kitaifa.
Shule Hii ipo mkoa wa Shinyanga ktk wilaya ya Kahama Mji.
Kwa kifupi>>>>.

KWEMA MODERN PRIMARY SCHOOL - PS1701035

WALIOSAJILIWA : 50
WALIOFANYA MTIHANI : 50
WASTANI WA SHULE : 234.3000
KUNDI LA SHULE : Watahiniwa 40 au zaidi
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIWILAYA: 1 kati ya 44
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIMKOA : 1 kati ya 244
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KITAIFA : 1 kati ya 8109



Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx