test

Jumatano, 14 Septemba 2016

BUNGENI: Serikali Kuanza Kuwalipa Wazee wa Miaka 70 na Kuendelea Sh 20,000 Kila Mwezi


#BUNGENI:Serikali ipo mbioni kuanza kuwalipa wazee pensheni bila kujali shughuli waliyokuwa wakifanya siku za nyuma.

Naibu Waziri wa Ajira, Kazi na Vijana Antony Mavunde amesema kwa kuanzia wazee watakuwa wakilipwa shilingi elfu ishirini kwa mwezi na wataanza kulipwa wazee wenye umri wa miaka sabini na kuendelea.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx