test

Jumatano, 14 Septemba 2016

BREAKING NEWS- UEFA YAPATA RAIS MPYA



Aleksander Ceferin amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya ( Uefa).
Ceferin, ambaye ni mkuu wa Chama cha Soka nchini Slovenia, amepata kursa 42 kwenye mkutano maalum ulioanyika jijini Athens nchini Ugiriki, idadi ya kura 29 zaidi ya mshindani wake Mdachi Michael van Praag.

Msloveni huyo ( 48), anachukua mikoba iliyoachwa wazi na rais wa zamani wa shirikisho hilo Mfaransa Michel Platini, ambaye alijiuzulu baada ya kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka mwaka jana.
Ceferin ataziba nafasi hiyo ya Platini mpaka mwaka 2019 uchaguzi mwingine utakapotishwa.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx