test

Jumatano, 21 Septemba 2016

BREAKIN NEWZZ!!!- MADEREVA WALIOTEKWA NYARA DRC-CONGO WAPOKELEWA KWA MACHOZI



Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Suzan Kolimba (katikati), akizungumza na madereva 10 wa Tanzania waliotekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni waasi Jamhuri ya Demokrasia ya Conco (DRC), wakati wa hafla fupi ya kuwapokea iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo jioni. Kulia ni Balozi wa Congo nchiniJean Mutamba na kushoto ni Mkurugenzi ;Idara ya Afrika katika wizara hiyo, Balozi Samweli Shelukindo.

Balozi wa Congo nchini,Jean Mutamba (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo.

Mmiliki wa Kampuni ya Simba Logistic ambayo magari yake na madereva walitekwa, Azim Dewj (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo ya kuwapokea madereva hao.

Madereva hao wakipokelewa uwanjani hapo.

Mbwana Said (kulia), akielezea jinsi walivyotekwa.







Dereva Kumbuka Seleman (kulia), akisimulia jinsi alivyotoroka na kutoa taarifa ya kutekwa kwao.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx