Skip to content
Moja kati ya stori zinazogonga vichwa vya habari vya magazeti ya michezo
Tanzania ni kuhusiana na wazo la mfanyabishara na mwenyekiti wa Yanga
Yusuph Manji kuomba kuikodi Yanga katika kipindi cha miaka 10, hili ni
wazo ambalo kila mmoja ana mtazamo wake, Ayo TV imempata mchambuzi wa
masuala ya soka Edo Kumwembe azungumzie mtazamo wake kuhusiana na wazo
la Manji.
“Kukodi Yanga hili ni suala gumu sana kuliko hata la Simba na linahitaji
elimu kubwa zaidi bora la Simba ni suala ambalo watu tunauelewa nalo
kuliko la Yanga, ila hili la Manji sijawahi kuona kwa sababu Manji
anataka kuchukua timu ya wakubwa na logo ya Yanga ila mashabiki
wanashangilia na hawajiulizi timu yao ya vijana itakuwaje”
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx