Omary
Nyembo msanii wa bongo fleva kutoka Kigoma mwisho wa reli amekua
akijitetea hizi ni suzi mbili tofauti,Le ufukunyukuzzz kwa darubini
kiatu cha kahawia,tai,soksi nyeusi,ua jekundu na jeusi kwenye suti zote
katika pozi ziko sawa.Kama ni suti tofauti ilikuaje akarudia hadi soksi
kwa msanii mkubwa kama baba wanjera anayelipwa mamilioni ya pesa kwenye
show ikumbukwe alikua Ulaya.
PICHA ZA ULAYA ZINATOKA CLEAR.
PICHA ZA ULAYA ZINATOKA CLEAR.
0 comments:
Chapisha Maoni