Shirika la habari la AFP limeripoti kuwa tayari Soyinka amesharejea kwao Nigeria. Hatua hiyo imekuja baada Donald Trump, Rais mteule wa Marekani kushinda uchaguzi mwezi jana, Professa Soyinka aliahidi kuwa kama Trump atashinda uchaguzi basi angeirarua "green card" yake na kurejea Nigeria.