Le
mbebez Siwema baada ya kuachana na msanii wa bongo fleva Ney wa Mitego
kwa sasa anatoka na serengeti boy anaitwa Maduka.Ney alivamia Jijini
Mwanza miezi michache na kumfumania mpenzi wake huyo na jamaa
huyu.Timbwili lililopelekea Mr Ney kuondoka na mtoto wake Curtis.
Serengeti huyo ni maarufu kutokana na mali za urithi na maduka.Nyimbo mpya ya Ney wa mitego mapenzi pesa au kupetipeti ya jidhihirisha kwenye penzi hili.
Serengeti huyo ni maarufu kutokana na mali za urithi na maduka.Nyimbo mpya ya Ney wa mitego mapenzi pesa au kupetipeti ya jidhihirisha kwenye penzi hili.
0 comments:
Chapisha Maoni