Video vixen alijizolea umaarufu Kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuanika picha za utupu siku za nyuma Sasha Kassim ameibuka tena na kukiri kuwa ataendelea kuweka picha zake za utupu mitandaoni.
Mwezi
uliopita Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana
Shonza alitangaza vita na wasichana wote ambao wanaanika picha zao za
utupu mitandaoni na kuahidi kuwafungia kazi zao za sanaa endapo
wataanika picha hizo.
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu hatimaye Sasha Kassim amefunguka kuwa ataendelea kupiga picha za nusu uchi.
Kwenye
mahojiano na Gazeti la Amani, Sasha alisema kuwa anajiandaa kupiga
picha nyingine ambazo kama ni nguo za ndani zitaonekana nadhifu na zenye
kuvutia na pia zitapungua ‘ukali’.
"Nilipotea
kwa sababu niliibiwa akaunti yangu ya Instagram, si unajua ilikuwa na
picha nyingi sana ila sasa hivi najiandaa kupiga picha nyingine mpya
zitakuwa zikinionyesha sehemu zangu za mwili lakini zitakuwa zenye
kujistiri kidogo”.
0 comments:
Chapisha Maoni