Mamlaka
ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema kutua kwa ndege ya Emirates
Airbus A380-800 kumewaongezea kujiamini katika biashara ya usafiri wa
anga duniani.
Mkurugenzi
Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema leo Aprili 27, jijini Dar es salaam
kuwa Emirates walichagua uwanja wa JNIA Dar es Salaam kutokana na
kuzingatiwa kwa vigezo vya kimataifa vya uwanja huo.
Hata hivyo ndege hiyo iliondoka Aprili 25 kwenda Mauritius.
0 comments:
Chapisha Maoni