test

Jumatatu, 21 Novemba 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AENDA OFISINI KWAKE DODOMA KWA MGUU


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  Novemba 21, 2016 asubuhi aliamua kutembea kwa mguu  kutoka makazi  yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake   barabara ya Reli mjini Dodoma .  Pichani, Mheshimwa Majaliwa akilekea Ofisini kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu).

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx