Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana alichukua fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kuteliuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar.
Dk.Shein alikabidhiwa fomu hizo katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Juni 18,2015.
Rais wa Zanzibar anaungana na wanasiasa wengine takribani 37
waliochukua fomu kutoka Tanzania Bara ambao hivisasa wapo katika
mchakato wa kutafuta wadhamini.
0 comments:
Chapisha Maoni