Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es
salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya uraia siku ya
maonyesho ya sababa ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya
Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Aidha,taarifa hiyo imeeleza kwamba usajili huo utafanyikia kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu.
==>Taarifa ya NIDA
0 comments:
Chapisha Maoni