Story inaendelea…baada ya jana dada wa Adebayor kumjibu kwa comment bwana Adebayor na yeye hajakaa kimya. Sasa leo Ade ame post tena kwenye page yake ya facebook na kutoa ahadi kuhusu hiyo story.
Ade amesema kwamba ataendeleza hii story katika kuendeleza ku-prove ukweli wa mambo juu ya hili swala. Alichoki ahidi ni kwamba ataendeleza story kuhusu Rotimi. Kama unakumbuka kwenye story ya kwanza ni kwamba Rotimi alitajwa kama mdogo wake Adebayor na alisaidiwa na Adebayor kujiunga na sports academy huko Ufaransa. Lakini kwa mujibu wa Ade ni kwamba bwana Rotimi aliwaibia simu wachezaji wenzake kama 21.
Status ya Adebayor inasomeka hivi “SEA, when the time is right Rotimi Adebayor’s story will come out in Part 2 Quand le moment sera approprié, l’histoire de Rotimi Adebayor sortira dans l’épisode 2. #GodFirst #TruthOverLies #GoodOverEvil #Mawulolo#StayStrong #LifesGood ”
Wakati huo huo mashabiki wake wanachanganyikiwa kwa kutokujua ukweli kamili.Wengine wanamwambia aache kuongea mambo haya ya kifamilia ajaribu kutafuta solution kati yake na familia.
Adebayor na bwana Rotimi
NISHIIIDAH..............
JibuFutawayamalize tu.....................!
JibuFuta