Wakazi
wa Manispaa ya Dodoma wamempongeza Rais Dkt.John Magufuli kwa uamuzi
wake wa kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu - CDA kwa maslahi ya
umma, baada ya kuimiliki ardhi ya mji wa Dodoma kwa miaka 44.
Wananchi hao wamesema uamuzi huo utasaidia kuondoa vikwazo vilivyokuwa vinasabisha mji wa Dodoma kushindwa kukua kwa kasi.
Wananchi hao wamesema uamuzi huo utasaidia kuondoa vikwazo vilivyokuwa vinasabisha mji wa Dodoma kushindwa kukua kwa kasi.
Jitonja Gogo
0 comments:
Chapisha Maoni