test

Jumatatu, 12 Desemba 2016

Ratiba ya Europa League hatua ya 32 bora hii hapa


Manchester United katika hii hatua ya 32 bora ya Europa itaanza katika uwanja wa nyumbani ( Old Trafford) wakati Tottenham wataanzia ugenini huko Ubeligiji.

ORODHA YA 32 BORA HII HAPA

Athletic Bilbao vs APOEL

Legia Warsaw vs Ajax

Anderlecht vs Zenit St Petersburg

Astra Giurgiu vs Genk

Manchester United vs Saint-Etienne

Villarreal vs Roma

Ludogorets Razgrad vs Copenhagen

Celta Vigo vs Shakhtar Donetsk

Olympiacos vs Osmanlispor

Gent vs Tottenham Hotspur

Rostov vs Sparta Prague

Krasnodar vs Fenerbahce

Borussia Monchengladbach vs Fiorentina

AZ Alkmaar vs Lyon

Hapoel Be'er Sheva vs Besiktas

PAOK vs Schalke

Mechi zitachezea Alhamisi ya tarehe 16 February 2017 kwa mzunguko wa kwanza; Mzunguko wa pili utafanyika tarehe 23 February 2017, wiki inayofuata.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx