test

Jumatatu, 12 Desemba 2016

Ratiba ya UEFA hatua ya 16 bora hii hapa


Arsenal kwa mara ya pili sasa anatua mbele ya mikono ya Bayern Munich; Huu mchezo ni mgumu ila kwa klabu ya Arsenal ndio unaonekana kua ni mgumu sana.


Manchester City vs As Monaco

Real Madrid vs SSC Napoli

Benfica vs Borussia Dortmund

Bayern Munich vs Arsenal

Porto vs Juventus

Bayern Leverkusen vs Atletico Madrid

Paris Saint German vs Barcelona

Sevilla Fc vs Leicester City

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx