Kwenye hotuba yake wakati wa maadhimisho ya siku kuu ya Jamhuri katika uwanja wa Nyayo jijini Nyayo, Kenyatta amesema hatokubali kuona mataifa ya kigeni yakitumia mashirika nchini Kenya, kuwaamulia wananchi jinsi watakavyopiga kura mwaka ujao.
Angakia Video