Skip to content
Mkali wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya mastaa
wa bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na mpenzi
wake wa muda mrefu aitwae
Muimbaji huyo ambaye zamani alikuwa anatoka kimapenzi na Shilole
amefunga ndoa kimya kimya huku akijiandaa kwa ajili ya kufanya sherehe
kubwa.
Mastaa wengine waliofunga ndoa hivi karibuni ni pamoja na Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste pamoja na wengine wengi.
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx