test

Jumatatu, 21 Novemba 2016

MENEJA BABU TALE NA MASTER JAY WASEMA HAYA BAADA YA NYIMBO YA DIAMOND KUVUJA


Diamond akiwa amemtupia Neyo All the way kutoka pande za maandishi matatu kwa mnyama mkali Donald Trump, Sasa ngoma hii imekuwa namaswali mengi mitandaoni baada ya kuvuja.
Baada ya ngoma hii ya “i want to Marry you” kuvuja mitandaoni, waya wa Perfcet ukaona sio kesi kumtafuta meneja wa Diamond Babu tale ili aweze kutujuza nini kimetokea juu ya ngoma hii kwanini imevuja mitandaoni na haijaachiwa official.
Akiongea na Perfect kupitia Onpoint, Meneja Babu tale alifunguka na kusema kwamba ngoma hiyo ilikuwa mikononi mwa kampuni moja hivi ambayo wanafanya nayo kazi ya kusambaza wimbo huu katika media zote, kwahiyo Babu tale akaendelea kufunguka kwamba wenyewe wanasubiria tu muda ukifika wa official ikifika nayo wataitoa na jambo jingine la kufahamu ambalo Babu tale ametuambia ni kwamba wimboo huu ni bado Demo kwahiyo mashabiki wangojee yenyewe ambayo ni Official.
Babu Tale aliongeza pia kwa kusema kwamba mpaka Neyo anafahamu kuhusu ishu hii ya wimbo wa “I want to Marry You” kuwa umevuja.
Baada kumaliza kubonga na Babu tale, waya ikavutwa tena hadi kwa Master Jay kufahamu inakuwaje mpaka ngoma inavuja?, Master Jay akaamua kutuambia kwamba kuvuja kwa ngoma sahivi ni mbinu za Kibiashara tu.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx