test

Jumatatu, 21 Novemba 2016

RC MAKONDA AVUNJA REKODI YA KUWA RC ANAYEWAJIBIKA ZAID AINDELEA KUITAKATISHA DAR AWAFUNGIA KAZI WATUMISHI MIZIGO


RC MAKONDA AKISIKILIZA MAWASILISHO YA UTENDAJI WA MANSPAA TEMEKE KUTOKA MKUU WA WILAYA HIYO FELIX  LYANIVA


MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa katika ziara yake ya DARMPYA ameeleza kuwa kila baada ya miezi mitatu watumishi mizigo wataachishwa kazi.

RC Makonda ameeleza kuwa kufuatia kutokuwajibika kwa watumishi wa umma anampango wa kumshawishi Rais Magufuli waanze kuwapunguza watumishi wasiofanya kazi kwa maslahi ya umma, huku akisisitiza kuwa serikali ya Rais Magufuli inahitaji kuona matokeo ya kazi ya mtumishi wa umma na sio amekaa muda gani kwenye kazi.
RC MAKONDA AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MANSPAA YAA TEMEKE

Katika hatua nyingine RC Makonda amewataka watumishi wa umma kujiongeza na kutotegemea bajeti ili kukamilisha miradi ya maendeleo huku akitolea mfano kuwa kwa kipindi alichokaa madarakani amepokea zaidi ya bilioni 30 nje ya bajeti, hivyo ni vyema na wao wakaiga mfano huo

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx