test

Jumapili, 16 Oktoba 2016

Waziri Angella Kairuki apewa onyo na Waziri Mkuu


Waziri Mkuu Mh Kassimu Majaliwa amempa angalizo Waziri wa utumishi wa umma kuhusu kutoisha kwa zoezi la uhakiki wa watumishi wa umma.
Waziri Mkuu amempa onyo hilo wakiwa kwenye kikao cha utendaji kuhusu wizara ya utumishi dodoma. Amesema kuwa anaomba waziri wa utumishi alisimamie zoezi hilo lifikie mwisho na watu warudishwe kazini waliositishiwa ajira zao mwezi june 2016. Waziri mkuu amesisitiza na kusema zoezi hili lifikie kikomo ili watumishi wa umma wapate stahiki zao.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx