Msanii
Diamond na kundi lake la Wasafi wakitumbuiza kwenye Uwanja wa
Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015.
Msanii Diamond na kundi lake la Wasafi wakitumbuiza kwenye Uwanja wa
Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015.
Diamond
na kundi lake wakitumbuiza kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho
tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
0 comments:
Chapisha Maoni