Ojur anasemekana kumwambia mkewe kuwa alifanya vipimo vya ugonjwa wa UKIMWI na akakutwa nao. Na tangu amwambie mkewe hivyo amekuwa akinyimwa ‘unyumba’.
Kamamnda wa Polisi eneo la Njeru, Christopher Tuhunde amesema kuwa, marehemu alijinyonga ndani ya nyumba yake na jeshi hilo linaendelea kuchunguza kwa undani juu ya tukio hilo ili kuja na ripoti kamili kuhusiana na kujinyonga kwa Ojur.
Hata hivyo Tuhunde amewashauri wakazi wa eneo hilo kupenda kuomba ushauri kwa wenzao juu ya matatizo yanayowakabili kuliko kukimbilia kujiua.
0 comments:
Chapisha Maoni