Anazungumzia
ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema
hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa
mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema
ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila
ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto
ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.
Source:EFM
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.
Source:EFM

0 comments:
Chapisha Maoni