Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya hapa Tzee marufu kwa jina la Msami
ambaye anafanya vizuri na ngoma zake, ikiwa ni pamoja na ‘Sound Track’ .
Though kwamba leo ametambulisha wimbo wake mpya unaoitwa Yalayala’ East
Africa Radio.
Kuhusiana na mpenzi wake Irene Uwoya Msami amesema kuwa “nipo tayari kuzaa mtoto natamani sikumoja iwe hivyo”
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
Siku 6 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni