Wamarekani weusi wamemshambulia Jay
Z na kumuita mnafiki baada ya picha ya wafanyakazi wa kampuni yake ya
Tidal yenye makao yake makuu nchini Norway kuonekana mtandaoni.
Tatizo la picha hiyo ni kuwa
wafanyakazi wote ni wazungu licha ya hivi karibuni kuwashambulia
wamarekani weusi kuwa hawaiungi mkono kampuni yake kama wafanyavyo kwa
Apple, Nike na Google.
Matokeo yake kibao kimemgeukia kwa kauli kama:
“Jay tried to guilt trip us … but his staff are all white”
– “Jay does a ‘Pro-Black’ freestyle but then releases a picture of #Tidal’s all White staff.”
– “Those who complain of no blacks in white owned institutions. Well here u go Jay Z OWNS TIDAL. U going to protest?”
-“Jay ain’t hiring u n***as”
Hata hivyo Jay Z anaweza kuwa
anaonewa tu kwakuwa ofisi za Tidal zipo Norway ambako watu weusi
wanaweza kuwa karibu asilimia 2 tu.
0 comments:
Chapisha Maoni