Skip to content
Baada ya masaa takribani 13,tangu hit maker wa African Beuty na King of
Pop in Afrika ambaye bado anasumbua na ngoma aliyoshirikishwa na
harmonize "Kwangwaru,Diamond Platnumz maarufu kama Chibu Dee kuachia
kichupa cha karne "Iyena" hatimaye Star wa Manzese True Boy "Nay wa
mitego ameibuka na kumwagia sifa kijana huyo ambaye leo amenunua
:D:Dpage zote za instagram na youtube kwa kazi nzuri ya wimbo huo uliopo
kwenye album ya A boy from Tandale.
Katika post yake huko IG Nay amesifia kazi nzuri na kumlaumu Diamond kwa kupuyanga na "Mapugi machafua nyota" .
Aidha,Nay amesema anafanya mpango aongee na mama Tee ili yaishe jambo
hilo limemfurahisha Zari ambapo amelike na Kukomenti post hiyo kwa
kuweka emoji ya Kusalimu amri...
Je hii ni ishara kwamba Mama Nillan yuko tayari kurudi Madale?
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx
0 comments:
Chapisha Maoni