Tatizo hili limekuwa likiwakosesha wanaume wenye tatizo hili amani na hata raha ya kuwa na mahusiano na wenza wao. Ni tatizo linalosababisha mahusiano mengi kutodumu na kuathiri sana wengi wao psychologically.
Hupelekea mtu kuamua kuwa mwenyewe pasina mahusiano akihofia kutodumu kwa mahusiano hayo au hata kudhalilishwa mbele za watu hasa anapokuwa na mpenzi asiye mstaarabu au pale mapenzi yanapofika kikomo siri za ndani zote hutolewa hadharani. Mtu huona ni bora kuwa peke au kutafuta ONE NIGHT STAND (machangudoa) au kufanya masturbation ili kumaliza hamu yake wakati bila kujua kwa njia moja au nyingine ndio anazidi kujiumiza na kufanya tatizo kuwa sugu kabisa na kusababisha matatizo mengine kama kulegea kwa uume n.k.
Nini cha kufanya ?.
Sitaki kusema kuwa watu wanione PM ili niwape dawa HAPANA ; Dawa ntaitoa hapahapa na maelekezo yake yote jinsi gani ya kufanya, na kwa mwenye swali lolote ataniuliza kama hajaelewa sehemu au kama atahitaji kusaidiwa kutengeneza hiyo dawa ni sawa pia na ni bure kabisa. Narudia tena ni BURE kabisa coz niko hapa kusaidia.
Sasa, kama utakuwa na ndugu, rafiki, jamaa yako wa karibu au hata kama ni mpenzi wako (kwa wanawake) waweza kumsaidia ili aweze kuondokana na tatizo hilo In Shaa Allah.
Mahitaji :-
1 ). Mafuta ya Zaituni (Olive Oil).
2 ). Hartiti kichupa kidogo.
3 ). Maji ya moto kiasi si sana.
Utayarishaji.
- Chukua mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kiasi cha 100ml na Hartiti kiasi cha kichupa kimoja kidogo.
- Changanya vyote kwa pamoja vizuri mpaka vichanganyike sawasawa kabisa, ukishamaliza hapo hatua ifuatayo ni...
Matumizi.
- Jinsi ya kutumia yatakiwa kuchukua mchanganyiko wako na kuanza kuichua dhakari/uume wako kiasi cha kuhakikisha imepata msisimko. Fanya hivyo kiasi cha mara tatu hivi.
- Baada ya hapo iache dhakari/uume wako kwa kiasi cha dakika 5 hadi 10.
- Kisha ioshe kwa maji moto uliyokwisha yaandaa kabla. Baada ya kuiosha tu chukua unga kidogo wa Hartiti kisha ingiza kwenye tundu ya dhakari yako vizuri. Ingiza unga kidogo tu kutokana na tundu yenyewe kuwa ni ndogo hivyo ingiza unga kiasi tu wa Hartiti.
Baada ya dakika 3 hadi 5 kuna mabadiliko utayahisi kuwa dawa yaanza kufanya kazi. Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.
Kwa yeyote mwenye swali aweza kuniuliza aidha hapa ama pm ni ruksa tu vile upendavyo, na pia nawahakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wale ambao ni wagonjwa wa tatizo hili kwa maswali, maoni au ushauri usisite kuniuliza chochote utakachojiskia.