Aliyekuwa
Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameonyesha ni kiasi
gani anamkumbuka aliyekuwa mume wake, Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye
ni Marehemu kwa sasa.
Zari
ameshare picha ya zamani katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha Don
akiwa na mwanaye, Pinto ambaye ni mkubwa kwa sasa na kuandika;
"Ni
vigumu kuamia ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Mungu alipokuita,
naona ni kama jana. Hakuna siku inayopita bila kukuombea pamoja na mama
yako. Roho zenu ziendelee kupumzika kwa amani.Hakika sisi huja kutoka
mbali. Hapa Don anaonekana amembeba Pinto (ambaye ni mkubwa sasa),
alianza naye kutoka mbali."
"Can’t
believe its almost a year since God called you, it seems like
yesterday. No day passes that i don’t pray for you and mom. May your
souls continue resting in peace.
We
surely come from far. Here Don is seen carrying Pinto ( who is a giant
now), started from the botton right? Your missed🌹#RandomPost"
Ivan
alifariki May 25, 2017, alijipatia umaarufu mkubwa tangu nchini mwake
Uganda hadi Afrika Kusini ambako ameacha utajiri mkubwa uliomfanya kuwa
mmoja ya watu matajiri nchini humo kabla ya kufikwa na mauti.
0 comments:
Chapisha Maoni