Mama
mzazi wa marehemu Steven Kanumba ameshangaza wengi baada ya kuanza
kumwaga machozi katika moja ya stand zinazojaza watu jijini dar baada
ya kuona bango lenye picha ya mtoto wake katika maeneo hayo.
Mama
huyo ambae alishindwa kuzia hasira zake na kulia alisema kuwa mara
nyingi amekuwa akiumia sana na kushindwa kujizuia kutoa machozi kila
anapoona picha au kitu chochote ambacho kinamkumbusha mtoto wake.
"Kila
mara nimekuwa nikiziona picha za kanumba katika mabango , lakini sijui
kwanini hii imenifanya nipatwe na uchungu na niishiwe na nguvu kabisa.-Alisema Mama Kanumba ambae anasema kuwa alikuwa akielekea maeneo ya segerea kwa ajili ya kyrekodi movie.
Kanumba
alifariki miaka zaidi yamitano iliyopita baada ya kuuawa na mpenzi wake
(Lulu Michae) waliokuwa na mtafaruku na kusababisha mauaji yake pindi
walipokuwa wakizozana.Hata hivyo Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka
miwili gerezani baaada ya kukuta na hatia ya kuua bila kukusudia.
0 comments:
Chapisha Maoni