test

Jumapili, 11 Juni 2017

SIASA KANISANI:Alichoongea Mbunge Waitara ndani ya Kanisa la Gwajima Leo


Alichoongea Mbunge Waitara ndani ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa Askofu Gwajima Leo. Mwita Mwikwabe Waitara alifika kushiriki ibada kanisani hapo akiongozana na Mbuge Vicent Nyerere ambaye pia alipata nafasi ya kutoa neno kanisani hapo.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni