Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Gullamuhusein Kifu amesema ni kutokana na mkuu huyo kupangiwa majukumu mengine ya kikazi.
Awali,
Mabeyo alitarajiwa kufika Kibiti kufanya mazungumzo na wazee kwa ajili
ya kuimarisha hali ya usalama mkoani humo ambamo kumekuwa na mfululizo
wa mauaji hasa ya viongozi wa vijiji.


0 comments:
Chapisha Maoni