Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza
kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri
wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akijibu hoja
Mbalimbali za Wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu
Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 12, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina
Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini
na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12,
2017.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri
wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiongea
jambo na Mbunge wa Rombo(CHADEMA) Mhe.Joseph Selasini katika kikao cha
Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
12, 2017.
Mbunge
wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Neema Mgaya akiuliza swali katika kikao cha
Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
12, 2017.
Wabunge
wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha Ishirini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Mbunge
wa Kibamba(CHADEMA)Mhe.John Mnyika akiuliza swali katika kikao cha
Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
12, 2017.
Naibu
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula
akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akizungumza
jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe.Angelina Kairuki katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri
wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza
jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu
wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama katika kikao cha Ishirini na moja cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri
wa Maji Mhe.Eng Gerson Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri
wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Mbunge
wa Nzega Mjini(CCM) Mhe.Hussein Bashe akizungumza na Mbunge wa Kigoma
Kaskazini Mhe.Zitto Kabwe katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akizungumza jambo na
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani katika kikao
cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 10, 2017.
Washiriki
wa Shindano la Miss Udom wakiwa Bungeni Kujifunza shughuli mbalimbali
zinazoendelea katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.