test

Jumatano, 10 Mei 2017

Sasa Manchester united kufungiwa na kushushwa daraja..Sababu ni Hii hapa


Chama cha soka cha mpira wa miguu duniani FIFA kifungua uchunguzi maalum kwa club ya MAN U baada ya kuona kuna makosa yalifanyika wakati wakumsajili mchezaji Paul Pogba Mwaka jana kiangazi.
Moja ya adhabu ambayo inaweza kuikumba either kulipa faini, kuzuiwa kusajili wachezaji au kushushwa Daraja.
 

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx