test

Jumatano, 10 Mei 2017

Shilole kufanya colabo na Nicki Minaji


shilole na nicki minaji kolabo udacuziStaa wa Bongo Fleva Shilole ambaye kwa sasa anatamba kwenye radio na Tv na rekodi yake ya #HatutoiKiki Remix amesema baada ya kumkosa Jennifer Lopez kwenye colabo, sasa anamtafuta Nicki Minaj afanye nae wimbo…
Shilole anasema “Nilishindwa kurudi tena Marekani kutokana na mambo niliokuwa nayo ikiwemo ya kifamilia na pia Jlo nae alikwa busy busy na nyimbo yake ya “Ain’t your mama” nikaona basi tusisumbuane sana mwache aendelee na mambo yake, ila nitamfuta Nick Minaj“

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx