Wito
wa kufika mbele ya Kamati hiyo unafuatia Azimio la Bunge lilitolewa
tarehe 8 Februari 2017 ambapo Bunge liliazimia Mhe. Spika aweze kukubali
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alexandra Mnyeti na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam Mhe. Mhe Paul Makonda wahojiwe kutokana na Matamshi yao ya
Kudharau Bunge.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi Z
Miezi 8 iliyopita