Maafisa watatu wakuu wa kijeshi ndani ya serikali ya Sudan Kusini, wamejiuzulu.
Makamanda hao wamejiondoa serikalini wakimlaumu Rais Salva Kiir kwa kuhusioka katika uhalifu wa kivita na mauwaji yanayolenga kabila fulani.
- Kiir: Wanajeshi wanao baka raia wauawe
- Sudan Kusini kwenye hatari ya kukumbwa na njaa
Kanali Khalid Ono Loki, pia anamlaumu kiongozi mkuu wa jeshi kwa mauwaji ya kimbari, kukamatwa na kuwazuilia watu kiholela.