Halmashauri
Kuu ya CCM imemteua aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato na baadaye
mshauri wa Rais masuala ya siasa, Bwana Rodrick Mpogolo kuwa Naibu
Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, akichukua nafasi ya Rajab
Luhwavi aliyeteuliwa kuwa Balozi
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita