test

Jumapili, 6 Novemba 2016

Video Mpya: Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae


Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii. Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx