Skip to content
"Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi serikalini maana wako wengi sana lakini asilimia 20 pekee ndiyo wanafanya kazi, na asilimia 80 hawafanyi kazi zao kikamilifu,
kazi yao ni kupiga umbea na majungu" - Hilo ni wazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
CHANZO: EATV
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx