Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora,
Aggrey Mwanri baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora
akieleke Urambo kuhudhuria mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta,
Novemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na Viongozi wa Serikali wa
mkoa wa Tabora, Viongozi wa Vyama vya siasa na dini baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Tabora akiwa njiani kwenda Urambo kwenye
mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Tabora. Wote walikuwa wakienda Urambo kushiriki mazishi ya Spika
Mstaafu, Samuel Sitta.
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo
bada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Spika Mstaafu Samuel Sitta,
Urambo mkoani Tabora ambako alishiriki mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji mjane wa marehemu Spika Mstaafu,
Samuel Sitta baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Urambo Tabora kwa
mazishi
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na baadhi ya
wanafamilia na ndugu wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta bada ya
kuwasili nyumbani kwa marehemu Urambo mkoani Tabora kwa mazishi
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na baadhi ya
wanafamilia na ndugu wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta bada ya
kuwasili nyumbani kwa marehemu Urambo mkoani Tabora kwa mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Busega
na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani ambaye sasa ni
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu katika mazishi ya Spika Mstaafu
Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Tabora, Novemba 12, 2016. Kulia kwake
ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto kwake ni Mkuu wa mkoa wa
Tabora, Aggrey Mwanri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha
Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba katika mazishi ya Spika Mstafu,
Marehemu Samuel Sitta, Urambo mkoani Tabora
Maaskofu na wachungaji wakiuombea mwili wa Spika Mstaafu, Marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yaliyofanyia Urambo Tabora.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa
Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yake
yaliyofanyika Urambo mkoani Tabora
Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa Spika Mstafu , marehemu
Samuel Sitta akiongozwa na Mgalula Fundikira kwenda kwenye kaburi la
mwanae katika mazishi yaliyofanyika Urambo.
Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa
marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati
mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini katika mazishi
yaliyofanyika urambo, Tabora.
Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa
marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati
mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipokuwa ukiteremshwa kaburini katika
mazishi yaliyofanyika Urambo, Tabora.
Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa
marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati
mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini
Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu Spika Mstaafu
Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mwanane katika mazishi
yaliyofanyika Urambo, Tabora
Mama Margareth Sitta ambaye ni Mjane wa marehemu Spika mstaafu, Samuel
Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mumewe katika kazishi
yaliyofanyika Urambo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakitupa udongo
kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi
yaliyofanyika Urambo
Viongozi wa Vyama vya siasa na serikali pamoja na wanafamilia wakiweka
udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika
mazishi yaliyofanyika Urambo.
Maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu,
marehemu Samuel Sitta wakiweka shada la maua kwenye kaburi katika
mazishi yaliyofanyika Urambo.
Mama Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika Mstafu, marehemu Samuel
Sitta akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe katika mazishi
yaliyofanyika Urambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki
katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta. Picha zote na
Ofisi ya Waziri Mkuu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai
akimpa pole Mama wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel
Sitta, Hajjat Zuwena Fundikira.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai
akimfariji Mjane wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel
Sitta Mama Magreth Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai
akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa
Marehemu Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa
Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo
Mstaafu. Anayefuatia ni Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni na Mwenyekiti
wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai
akitoa salama za rambirambi wakati wa mazishi wa aliyekuwa Spika wa
Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akiweka
shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa
Marehemu Samuel Sitta.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson
akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa
Marehemu Samuel Sitta.
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu