MIKOCHENI, DAR: Mchina achana noti ya Shilingi 1,000 na kuifananisha na karatasi ya chooni. Ni baada ya kuambiwa atoe nauli ya bajaji.
Maelewano ilikuwa ni Shilingi 4000. Lakini akatoa shilingi 2000. Mwenye babaji alipouliza ni kwa nini, akasema hiyo siyo sehemu ya 4000. Kwa hiyo anampa 2000, mwenye babaji akakataa kupokea, ndipo Mchina huyo akachana fedha hiyo.
Polisi wamemkamata na kumpeleka kituo cha Polisi